Maisha ya Juma yaligeuka kuwa fumbo ambalo hakuwahi kulielewa kwa muda mrefu. Alikuwa kijana mwenye bidii, mwenye ndoto kubwa na aliyekuwa tayari kufanya kazi mchana na usiku. Lakini kila alipogusa, mambo yaliharibika. Kila biashara aliyofungua ilianza vizuri, ikavutia wateja kwa wiki chache, halafu ghafla ikaanza kudidimia bila sababu ya wazi.
Hakuelewa kilichokuwa kinaendelea.
Alianza na duka la nguo mtaani. Wateja walimiminika siku za mwanzo. Baada ya miezi mitatu, mauzo..SOMA ZAIDI
