
Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa
Uongozi wa klabu ya Yanga SC umepitisha panga zito kwa wachezaji wake wa kigeni kuelekea msimu mpya. Chini ya Kocha Mkuu mpya, Mangqoba, ni wachezaji saba pekee waliosalia kwenye mipango ya benchi la ufundi.
Wachezaji wa kigeni wanao baki kikosini ni pamoja na Djigui Diarra, Duke Abuya, Maxi Nzengeli, Yao Kouassi, Aurelio Depu, Allan Okello, pamoja na Shadrack Boka.
Nyota wengine wote wa kigeni waliokuwepo msimu uliopita rasmi hawamo kwenye mipango ya kocha huyo na wataondoka klabuni hapo.
