“Kujeni Muone Mwizi Aise” Mwanafunzi Kukamatwa Akifanya Hivi Kwenye Matatu Kabla ya Mambo Kuripuka

Safari ya kawaida ya asubuhi ndani ya matatu moja iliyokuwa ikielekea Nairobi CBD iligeuka kuwa drama kamili baada ya mwanafunzi wa shule ya upili kurekodi kwa siri tukio la wizi wa simu lililokuwa likifanyika mbele ya macho ya abiria bila wao kugundua.

Video hiyo ambayo sasa inasambaa kwa kasi mitandaoni imewafanya wengi kushangaa jinsi mwizi huyo alivyokuwa akifanya kazi yake kwa ustadi mkubwa katikati ya msongamano wa abiria.

Kwa mujibu wa mashuhuda, matatu hiyo ilikuwa imejaa kama..SOMA ZAIDI HAPA

Related Posts