SIMBA Walazimishwa Sare na TRA, Yanga Wazidi Kuwapiga Gapu

SIMBA Walazimishwa Sare na TRA, Yanga Wazidi Kuwapiga Gapu
SIMBA Walazimishwa Sare na TRA, Yanga Wazidi Kuwapiga Gapu

Mnyama ameshindwa kupata ushindi kwa mara ya kwanza dhidi ya Wakusanya Kodi, TRA United kufuatia sare tasa katika dimba la Sheikh Amri Kaluta Abeid, Arusha kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara.

Simba SC inasalia nafasi ya pili alama 8 nyuma ya vinara, Yanga SC wakifikisha alama 36 baada ya mechi 17 wakiwa wamecheza mechi moja pungufu ya Wananchi.

Kwingineko Waoka Mitake, Azam FC wamelazimishwa sare tasa dhidi ya Mbeya City katika dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati Manyara.

FT: TRA United 0-0 Simba SC
🟥 87’ Nouma

FT: Mbeya City 0-0 Azam FC

Related Posts