Yanga SC Yatajwa Kumpigia Hesabu Feisal Salum Wa Azam FC

Yanga SC Yatajwa Kumpigia Hesabu Feisal Salum Wa Azam FC
Yanga SC Yatajwa Kumpigia Hesabu Feisal Salum Wa Azam FC

Yanga SC Yatajwa Kumpigia Hesabu Feisal Salum Wa Azam FC

Klabu ya Yanga inaripotiwa kuanza mazungumzo ya awali na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum, ikilenga kumrejesha mchezaji huyo ndani ya kikosi chao.

Feisal, ambaye amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Azam FC, inasemekana ndiye mchezaji anayeongoza kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa zaidi na benchi la fundi la Yanga. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Yanga ipo tayari kuingia mfukoni na kuvunja mkataba wake mara baada ya kufikia muafaka wa masharti binafsi na kiungo huyo.

Kwa sasa, pande zote mbili zipo kwenye hatua za mwanzo za majadiliano.

Related Posts