Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama Aibeba Simba Tena, Aipa Alama 3
HABARI ZA MICHEZO

Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama Aibeba Simba Tena, Aipa Alama 3

May 7, 2026 Udaku Special

Bao pekee la Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama limeipatia Simba SC alama zote tatu dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania katika dimba la Meja Janerali Isamuhyo.

Chama ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mechi kwa mechi ya pili mfululizo wakati Simba SC ikisogea mpaka alama tano nyuma ya Wananchi, Young Africans wakifikisha alama 46 baada ya mechi 21.

FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania
⚽ 54’ Chama (🅰️ Mpanzu)

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Kocha Mkuu wa Yanga Afunguka “Tulipashwa Kumaliza Mechi Mapema Sana”

September 13, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Kocha Manqoba Mngqithi Aanza Kukumbana na Presha ya Wananchi

September 13, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Polisi Wakamata Watuhumiwa 4 Mauaji ya Mwanafunzi wa IFM Aliyekatwa Kichwa
Next: Star Boy Allan Okello Ang’ara Akiipa Yanga Pointi 3 Muhimu

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariff majini Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Hawa Hapa Majambazi Wenye AKILI Nyingi zaidi Kuwahi Kutokea Duniani

  • Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

  • TANZIA: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir Afariki Dunia

  • Watu Wanne Wafariki Kwenye Ajali ya Basi la Abood na IST Bunju

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.