
Lionel Messi amefunga magoli matano kwenye mechi mbili za michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, akifunga mabao mawili wakati Argentina ikichomoza na ushindi wa 2-0 dhidi ya Austria katika dimba la Dallas Texas Marekani.
Messi mwenye umri wa miaka 38, amefunga magoli 18 kwenye historia ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA mabao mawili mbele ya Miroslav Klose mwenye magoli 16 huku Argentina ikifuzu kwenda hatua ya 32 bora ya michuano hiyo.
FT: Argentina 🇦🇷 2-0 🇦🇹 Austria
⚽ 38’ Messi
⚽ 90+5’ Messi
