Ghana, Misri Watinga Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

Ghana, Misri Watinga Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026
Ghana, Misri Watinga Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

TIMU za Taifa za Ghana na Misri zimeungana na Afrika Kusini, Ivory Coast, Cape Verde na Morocco kwenye hatua ya 32 bora ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 huku Senegal, DR Congo na Algeria zikisubiri hatma yao we baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Senegal, DR Congo na Algeria zinawania kumaliza kama timu 8 bora zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi 12 ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 (best loser).

Related Posts