Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League 2026/2027

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League 2026/2027
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League 2026/2027

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League 2026/2027

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa rasmi ratiba ya Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) kwa msimu wa 2026/2027.

Mwanzo wa Ligi Kuu (Agosti 14, 2026) Ligi inatarajiwa kuanza rasmi Agosti 14, 2026 kwa michezo mitatu ya ufunguz

  • Pamba Jiji vs Dodoma Jiji — Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza (Saa 8:00 mchana)

  • Mbeya City vs Geita Gold — Uwanja wa Sokoine, Mbeya (Saa 10:15 jioni)

  • Singida Black Stars vs Fountain Gate — Uwanja wa Airtel, Singida (Saa 1:00 usiku)

Mchezo wa Watani wa Jadi (Kariakoo Derby)

  • Simba SC vs Yanga SC (Mzunguko wa 1): Utapigwa Oktoba 10, 2026 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam (Saa 1:00 usiku), huku Simba wakiwa wenyeji.

  • Yanga SC vs Simba SC (Mzunguko wa 2): Utapigwa Februari 6, 2027.

Maelezo Zaidi: Ratiba kamili ya msimu mzima wa 2026/2027 inapatikana kwenye tovuti rasmi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) kwa ajili ya kupakuliwa (PDF).

RATIBA NZIMA IPO HAPA

Related Posts