Kusafiri kwenda nje ya nchi kwa ajili ya masomo au kazi ndoto ambayo kila kijana anayepambana anatamani kuitimiza.
Kila kitu kilikuwa kikienda vizuri upande wa waajiri wangu, lakini ajabu ni kwamba kila nilipofika kwenye hatua za mwisho za kukamilisha pasipoti na mchakato wa Visa, vikwazo visivyoeleweka vilianza kujitokeza.
Nyaraka zangu zilikuwa zikipotea kimyakimya maofisini, majina yangu yalikosewa mara kwa mara kwenye mifumo, au maombi yangu yalikataliwa bila sababu za msingi. Nilibaki nikishangaa na kuumia moyoni huku nikishuhudia fursa zangu za dhahabu zikiyeyuka.
Kumbe bila mimi kujua, baadhi ya ndugu zangu wa karibu waliokuwa wakionyesha kunifurahia kwa nje, ndio waliokuwa mstari wa mbele kufanya fitina chini kwa chini ili nisifanikiwe kutoka kimaisha! SOMA ZAIDI.
