Steve Barker Azungumzia Kadi Nyekundu Simba SC: Tumejipanga Haitupi Tabu

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amevunja ukimya kuhusu changamoto ya kadi nyekundu zinazoiandama timu hiyo katika michezo mitatu ya mwanzo ya Ligi Kuu ya NBC. Kocha huyo amesisitiza kuwa wamejipanga kukabiliana na hali hiyo badala ya kulalamika au kuingia kwenye presha.

Kauli ya Barker imekuja mara baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika Uwanja wa Airtel, Singida, ambapo Simba walilazimika kumaliza mchezo wakiwa na wachezaji 10 uwanjani. Barker alionyesha kuridhishwa na nidhamu ya kikosi chake na kubainisha kuwa tayari wanafanya mazoezi maalum ya kucheza wakiwa pungufu. Pia amewatoa hofu mashabiki kwa kueleza kuwa kikosi cha Simba ni kipana na kipo tayari kuendeleza mapambano wanaporejea nyumbani Dar es Salaam.

Related Posts