
Mwimbaji Gwiji wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.
Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.
