
Manchester United Wapigika, Washika Mitutu Arsenal Wakishusha Kichapo
Mashetani Wekundu, Manchester United wamekubali kichapo cha 2-0 ugenini dhidi ya Atlรฉtico Madrid katika uwanja wa Metropolitano huku Washika Mitutu, Arsenal wakichomoza na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika uwanja wa Emirates.
FC Barcelona imepindua meza kibabe ikitoka nyuma na kushinda 4-1 ugenini dhidi ya Galatasaray wakati jaribio la Bayern Munich kupindua meza likishindikana baada ya kulazimishwa sare ya 3-3 dhidi ya Viking ya Norway.
FT: Atlรฉtico Madrid ๐ช๐ธ 2-0 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man United
โฝ 01โ Barrios
โฝ 79โ Lookman
๐ฅ 74โ Yoro
FT: Arsenal ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 3-0 ๐ซ๐ท Lille
โฝ 64โ Timber
โฝ 67โ Eze
โฝ 71โ Saka
FT: Galatasaray ๐น๐ท 1-4 ๐ช๐ธ Barcelona
FT: Viking ๐ณ๐ด 3-3 ๐ฉ๐ช Bayern Munich
FT: Inter Milan ๐ฎ๐น 3-4 ๐ง๐ช Club Brugge
FT: Villarreal ๐ช๐ธ 3-1 ๐ฎ๐น Napoli
FT: RB Leipzig ๐ฉ๐ช 1-0 ๐ณ๐ฑ PSV
