Manchester United Wapigika, Washika Mitutu Arsenal Wakishusha Kichapo

Mashetani Wekundu, Manchester United wamekubali kichapo cha 2-0 ugenini dhidi ya Atlético Madrid katika uwanja wa Metropolitano huku Washika Mitutu, Arsenal wakichomoza na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika uwanja wa Emirates.

FC Barcelona imepindua meza kibabe ikitoka nyuma na kushinda 4-1 ugenini dhidi ya Galatasaray wakati jaribio la Bayern Munich kupindua meza likishindikana baada ya kulazimishwa sare ya 3-3 dhidi ya Viking ya Norway.

FT: Atlético Madrid 🇪🇸 2-0 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man United
⚽ 01’ Barrios
⚽ 79’ Lookman
🟥 74’ Yoro

FT: Arsenal 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 3-0 🇫🇷 Lille
⚽ 64’ Timber
⚽ 67’ Eze
⚽ 71’ Saka

FT: Galatasaray 🇹🇷 1-4 🇪🇸 Barcelona

FT: Viking 🇳🇴 3-3 🇩🇪 Bayern Munich

FT: Inter Milan 🇮🇹 3-4 🇧🇪 Club Brugge

FT: Villarreal 🇪🇸 3-1 🇮🇹 Napoli

FT: RB Leipzig 🇩🇪 1-0 🇳🇱 PSV

Related Posts