Nature

Uvumi wa Rais Kagame Kufariki Dunia, Kiongozi wa Dini Athibitisha


Padri Thomas Nahimana, kiongozi wa chama cha upinzani Nchini Rwanda cha ISHEMA, amekuwa mstari wa mbele kusambaza uvumi kuhusu Rais Paul Kagame.

Nahimana alidai kuwa alikuwa na “credible sources” ambazo amelitaja kwamba Kagame alikuwa katika hali ya palliative care na anatumika kisiasa, akidai kuwa anahoji kama Rais anatunzwa hadi tuafikie stadi za kisiasa

Padri huyo alidai rasmi kwamba Rais Kagame amefariki,
akitoa taarifa hiyo 16/06 Jumatatu kupitia mitandao ya kijamii, ingawa hakutoa ushahidi wa moja kwa moja wala
chanzo maalum kinachotambulika.

Kumekuwepo na uvumi unaoenea kuhusu Rais Paul Kagame wa Rwanda🇷🇼 Uvumi huu ulianza kusambaa katika mitandao ya kijamii kuanzia Jumamosi jioni na umeendelea kusambazwa hadi sasa. Mitandao mingine iliyochochea uvumi huo ni kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,
Mitandaoni hasa ndani ya Rwanda na Diaspora, kumekuwa na mjadala mkali baadhi ya watu wanahisi Rais amepotea hadharani kwa muda mrefu.

Mamlaka za Rwanda hazijajibu uvumi huu hii ikionekana kama hatua ya kudhibiti paniki, Chanzo cha uvumi huo kinaelezwa kuwa ni kutokuonekana hadharani kwa muda wa zaidi ya wiki 2 kitu ambacho hakijazoeleka, lakini pia kumekuwa na ukimya- serikali haijatoa taarifa rasmi kuhusiana na afya ya Rais, jambo ambalo limezua mjadala zaidi ndani ya Umma .

Hakuna ripoti rasmi kutoka vyombo vya habari nchini
Rwanda au serikali kuhusu Taarifa hizi.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *