Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA UDAKU
  • Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa….
Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa....
HABARI ZA UDAKU Sports News

Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa….

July 24, 2025July 24, 2025 Udaku Special

JUST IN:

Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Ellie Mpanzu Ameugomea Uongozi wa Simba Uliomtaka ajiunge na kambi ya Simba Hapo Kesho akishinikiza Klabu hiyo ilipe AJ Vanquer kiasi cha Shilingi Milioni 190 za Ada ya Usajili ambayo Simba wanadaiwa.

AJ Vainquer ni Wasimamizi na Wamiliki wa Mchezaji Ellie Mpanzu.

Taarifa za Kuaminika Kutoka kwenye vyanzo Rasmi vya Mchezaji huyo vinasema Mpanzu hatajiunga na kambi ya Simba Mpaka Pale Deni Hilo litakapolipwa.

Elie Mpanzu

Related Posts

HABARI ZA UDAKU

Harmonize Afunguka Kuhusu Kajala, Awapiga Marufuku Wanaowatabiria Mabaya

January 23, 2026January 23, 2026 ajirayako
Akon Copied Little Kid Saying God Thank You for Sunshine |
HABARI ZA UDAKU

Dogo Aliyeimba “Thank You For Sunshine” Amjia Juu Akon kuutumia Wimbo Bila Makubaliano, Adai Hajalipwa

January 22, 2026January 22, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: RUTO Kichwa Ngumu, Apuuza Kibabe Kampeni za “Ruto Must Go”
Next: Mwanamieleka Maarufu Hulk Hogan Afariki Dunia

Popular Posts

  • Arsène Wenger “Africa Nzima ilikuwa Dhidi ya Morocco”

  • BREAKING; CAF Yamsimamisha Kazi Kocha wa Senegal

  • Rais Museveni wa Uganda Amteua Binti yake Bi. Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu

  • Yaya Touré “Nimependa Walichokifanya Senegal, Sijali Fairplay”

  • Senegal Head Coach Pape Thiaw Finally Speaks

  • Mtoto Nilsa Mnyola Afariki Dunia Muhimbili

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.