Mtangazaji #divathebaawse amemchukulia hatua za kisheria Msanii Gigy Money kwa matumizi mabaya mitandaoni kufatiwa namvutano wao ambao umeteka mitandao ya kijamii.
Diva Ameandika Haya:
Nimechukua hatua zote za kiusalama wa mtandaoni na nime file a report kitengo cha cyber dhid ya gigy nina evidence nyingi sana dhidi yake kuanzia zaman mpaka sasa na ntafatilia hii kesi hadi mwisho tuna cd ina evidence zote alinichafua sana na amekuwa akiendelea kila anapotoa wimbo anatafuta ku attack watu ili a trend a cyber bullying is a no na anafanya hivyo ili atrend na sio mimi tu msanii yoyote au mtu yoyote aliechafuliwa na gigy ili atrend nenda kituo kikubwa cha Police file a report amekuwa akifanya vitu vya ajabu ktk jamii na anaachiwa tu yan matusi yake kudhalilisha watu imetosha ntampa funzo , as for me wakili wangu yupo kazini kuhakikisha jambo hili linafikishwa mahakamani. Angalizo: Sitaki mazoea kabisa ya kuchafuana au kujihusisha na kiki za kijinga. Sijajenga jina langu kwa misingi ya “lifestyle” zenu, na sitaki kuandikwa kwa namna ya kudhalilishana au kuongelewa kijinga stak drama za ajabu mimi napambana sana na haya maisha stak mtu anichafue afu anaingia live anajitapa vyote hivyo viko tayar recorded na naapa kwa Mungu niko hadi mwisho wa haki. na nyie mnaomjaza upepo i want to see you guys mnamsaidia in this sababu nawahakikishia i wil never back down zaman nilimuona mdogo nilisamehe au watu waliniomba nimsamehe alikuwa hadi akilia saa hii yeye sio mtoto tena ni mtu mzima kwahio basi i wil never entertain disrespect nilishasema nilimaanisha haikuwa mkwara.
sasa every thing alitengeneza kwa kiki kuongea would like a uhakika a Prove in the court My team inaendelea kusanya enough evidence against her na uzur ziko wazi zimejaa youtube.
Ndiyo maana nina vyombo vyangu rasmi vya habari ambavyo nafanya navyo kazi kama nahitaji kaz na hatujawahi koseana heshima , Nikiona mwandishi akihoji mtu kuhusu mimi kwa njia ya kunichafua au kunidhalilisha au upotoshaji au kuniongelea kwa nia mbaya, nitatoa taarifa rasmi kwa uongozi wa kituo husika kupeleka malalamiko TCRA, na kufungua kesi bila kusita kwa mwandishi nta deal na ww ktk bodi ya ithibati ya waandishi wa habari.

