Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Wiki ya Mwananchi Hati Hati Kufanyika…Kisa Mkasa Huu Hapa
HABARI ZA MICHEZO

Wiki ya Mwananchi Hati Hati Kufanyika…Kisa Mkasa Huu Hapa

August 13, 2025 Udaku Special

“Tunapamba siku ya Wananchi iwepo lakini kuna changamoto nyingi tunapitia, ukiangalia mashindano ya CHAN yanaisha tarehe 30 na tarehe 1 kuna Kalenda ya FIFA na tarehe 11 kuna ngao ya Jamii lakini changamoto kubwa ni Uwanja”.

“Ukifanya Wiki ya Wananchi maana yake tutafanya bila Wachezaji wetu wote na itakuwa kwa mara ya kwanza, tunaendelea kupambana na ikipatikana jibu sahii tutakuja kuwajibu.”

  • Ally Kamwe , Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Jackpot ya Milioni 200 Yapata Bingwa

October 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Cristiano Ronaldo Afikisha Mabao 981, Abakiza Mabao 19 Pekee Kufikia Record ya Mabao 1,000

October 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Feisal Salum Amekubali Kubaki Azam Kwa Masharti Haya
Next: Tazama Live Kesi ya Tundu Lissu Ikiendelea Leo

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Baada ya kikao, Yanga imefanya maamuzi haya kwa kocha Manqoba

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • TMA: Mvua Kutarajiwa Kunyesha Mfululizo Mikoa Hii Saa24 Zijazo Kuanzia Saa3 Usiku

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.