Nature

Mbosso Yamfika Hapa, Awashukia Vikali Diamond Platnumz na Babu Tale…

Mwanamuziki Mbosso ametoa ufafanuzi kupitia ukurasa wake wa Instagram, akizungumzia mahusiano yake na Baba Levo, huku akisisitiza heshima yake kwa Diamond Platnumz.

Mbosso ameeleza kuwa mtu pekee mwenye mamlaka ya kumkanya Baba Levo ni Diamond Platnumz. Amehitimisha ujumbe wake kwa kauli nzito inayoonyesha heshima yake kubwa kwa Diamond, akisema heshima hiyo itadumu hadi kifo chake.

Related Posts