Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Ummy Mwalimu, Aondoshwa Kwenye Orodha ya Wagombea Walioteuliwa CCM
HABARI ZA SIASA

Ummy Mwalimu, Aondoshwa Kwenye Orodha ya Wagombea Walioteuliwa CCM

August 24, 2025August 24, 2025 Udaku Special

Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, ameondoshwa kwenye orodha ya wagombea walioteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Badala yake, CCM imempitisha Kassim Mbaraka kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, hatua inayoashiria mabadiliko ya kiuongozi ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Baada ya Shahidi wa 18 Kupata Dharura ya Kiafya – Video

August 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

Afariki baada ya kipigo cha mpenzi wake, mtuhumiwa ajinyonga

August 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Amos Makalla ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Next: Jinsi Nilivyofanikiwa Kupata Utajiri Kupitia Money Spell

Popular Posts

  • Ukweli Uliojificha Kuhusu BANGI, Je Ina Madhara Kwa Binadamu?

  • Hawa Hapa Majambazi Wenye AKILI Nyingi zaidi Kuwahi Kutokea Duniani

  • Marais wa Nchi za Afrika Waliokula Bata na Kutumia Pesa za Serikali Kuliko Marais Wote Afrika

  • Isaya Yunge Ni Nani? Mfahamuni Mtanzania Aliyeteka Hisia Kenya Baada ya Engagement na Binti wa Rais Ruto

  • Tanasha amtembelea Zuchu! Afunguka haya mazito, Diamond atajwa, Aonyesha upendo,Ampa zawadi hizi

  • Makala: Nashiriki Ngono na Wanaume 30 Per Day Nilishe Familia Yangu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.