Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Ummy Mwalimu, Aondoshwa Kwenye Orodha ya Wagombea Walioteuliwa CCM
HABARI ZA SIASA

Ummy Mwalimu, Aondoshwa Kwenye Orodha ya Wagombea Walioteuliwa CCM

August 24, 2025August 24, 2025 Udaku Special

Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, ameondoshwa kwenye orodha ya wagombea walioteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Badala yake, CCM imempitisha Kassim Mbaraka kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, hatua inayoashiria mabadiliko ya kiuongozi ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

Nikki wa Pili Ahamiishwa Kutoka Kibaha Kwenda Wilaya ya Songwe

October 1, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri

September 30, 2026September 30, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Amos Makalla ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Next: Jinsi Nilivyofanikiwa Kupata Utajiri Kupitia Money Spell

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • MAJINJAS: Suluhisho la Asili la Kurejesha Hamu na Nguvu za Kiume

  • Maxi Nzengeli Hana Breki Yanga! Kocha Mngqithi Afichua Siri Nzito

  • Mfanyabiashara Chivayo na Mkewe Wafariki katika Ajali ya Helikopta

  • Amri Kiemba Atambulishwa Kagera Sugar Msaidizi wa Kaze

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.