Ahmed Ally "Mashabiki wa Yanga Waje Uwanjani Kwenye Mateso"

Ahmed Ally "Mashabiki wa Yanga Waje Uwanjani Kwenye Mateso"

Ahmed Ally “Mashabiki wa Yanga Waje Uwanjani Kwenye Mateso”

 β€œMashabiki wa Simba niwaalike waje uwanjani kuenjoy. Lakini kwa upande wamashabiki wa wapinzani wetu [Yanga] waje kwa wingi kadri wanavyoweza waje kuteseka uwanjani siku hiyo itakuwa ni mateso kwao hakutakuwa na namna yoyote kwao zaidi ya mateso” Amesema @ahmedally_ Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *