Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Shaffih Dauda; Golikipa Diarra Alistahili Kupewa Man of The Mach….
Sports News

Shaffih Dauda; Golikipa Diarra Alistahili Kupewa Man of The Mach….

September 17, 2025September 17, 2025 Udaku Special

Kwenye mchezo wa Derby Man of the match amepewa Pacome lakini nafasi ya kupendekeza mchezaji aliyefanya vizuri zaidi mimi ningempa Diarra hiyo tuzo ya MOTM

Kipindi cha kwanza kaokoa 1v1 mbili , zile nafasi golie wa kawaida yote yale ni magoli lakini haikuwa hivyo kwa Diarra.

Kwa % kubwa uhai wa Yanga ulianzia kwake naweza kusema hivyo , saves zake zilifanya nyota wengine wazidi kumwaga jasho yaani unakimbiza mwizi ukiwa tayari una uhakika mageti yana lock

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Ajitosa Kuokoa Watoto Majini, Afariki Pamoja Nao
Next: Niliachika mara nyingi kisa sina nguvu za kiume ila sasa nimetulia ndani ya ndoa

Popular Posts

  • Dudu Baya Akinukisha Teana Baada ya Kuona Video ya Mkubwa Fela na Mkewe

  • Arsène Wenger “Africa Nzima ilikuwa Dhidi ya Morocco”

  • BREAKING; CAF Yamsimamisha Kazi Kocha wa Senegal

  • Rais Museveni wa Uganda Amteua Binti yake Bi. Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu

  • Yaya Touré “Nimependa Walichokifanya Senegal, Sijali Fairplay”

  • Pigo Kubwa Lililomkuta IshowSpeed Afrika

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.