Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!
Sports News

Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!

September 29, 2025September 29, 2025 Udaku Special

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini!

Mchezo huu unatarajiwa Oktoba 13, nchini Cape Verde, na ushindi wa Cape Verde utawapa fursa ya moja kwa moja kufuzu Kombe la Dunia!

Tanzania iko kibao cha fahari kuona mwamuzi wake akiwakilisha taifa kwenye kiwango cha kimataifa!

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Harmonize Afokewa na Meneja wake Hadharani Wakishuka kwenye Ndege, Konde Aandika haya Kuhusu hili
Next: Waliomteka na Kumuua Mwanafunzi wa Mzumbe Wakamatwa

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.