
Harmonize mwanzoni mwa mwaka alisema kasema mwaka huu lazima afike GRAMMY tukampuuzia ila sasa ametu-prove alichokuwa anamaanisha.
Ngoma nne kahusika sio mchezo hata kama ni Consideration lakini vipi kama Zote zikiingia kwenye NominationđŸ¤” au tusema kaingiza nyimbo 2??
Kumbukeni pia ndio msanii pekee aliyetokea mara nyingi zaidi kwenye Stage ya Consideration akifuatiwa na Wizkid mara 3 yeye mara 4.
Pia Abby Chams anaweka historia ya kuwa msanii wa kwanza wa kike kuingia BET na GRAMMY, lazima haya mambo tuyaongelee kwa ukubwa snaa.

