Katika mitaa ya biashara, gumzo limezuka kuhusu mbinu ya ajabu ambayo wafanyabiashara wadogo wameanza kutumia na kudai kuwa inawavutia wateja kila siku. Hali hii imeleta maajabu katika masoko kadhaa, ambapo maduka yaliyokuwa hayana wateja sasa yamekuwa yakijaa kila asubuhi hadi jioni. Wengi wanashangaa ni nini hasa kinachoendelea nyuma ya pazia.
Mfanyabiashara mmoja wa nguo alikiri kuwa kabla ya kutumia mbinu hiyo, alikuwa akihangaika kupata faida. Alisema kuwa hata akipunguza bei, bado wateja walikuwa wachache. “Nilikuwa najiuliza kwanini watu wanapita tu bila kuangalia bidhaa zangu,” alisema huku akicheka kwa furaha. “Lakini tangu nifanye nilichoambiwa, kila anayepita lazima aingie dukani kwangu.”
Wengine wameanza kuamini kuwa mbinu hiyo ya kale si hadithi tena, kwani imetoa matokeo ya haraka yanayoonekana wazi. Maduka yaliyoachwa na wafanyabiashara waliokata tamaa sasa yamepata uhai upya. Wengine wameongeza wafanyakazi kutokana na idadi kubwa ya wateja wanaoingia kila siku. Soma zaidi hapa

