Kwenye Group la Kifo🙌🏼 Mwamba Pedro Goncalves amewaongoza Yanga kuvuna alama4 katika michezo miwili ya mwanzo 🔥
Msimu uliopita kama sasahivi Yanga alikua na alama0, alisha pasuka dhidi ya Al Hilal home na away dhidi ya Mc Alger
Mwanzo mzuri mnoo, Yanga wame tawala kila kitu katika soka la ndani kazi ilikua kurudisha heshima ya Wananchi katika michuano ya Caf 🔥
Bado hili ni Group la kifo… Michezo mi4 ya Yanga ilio salia dhidi ya Ahly home and away, dhidi ya Rabat ugenini na Js Kabylie 🙌
WANANCHI WAPO KILELENI MWA GROUP LA KIFO
