Wananchi, Young Africans Sc wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika dimba la KMC Complex na kukwea mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara 2025/26. Yanga Sc imefikisha alama 13 baada mechi tano.
FT: Yanga Sc 2-0 Fountain Gate Fc
β½ 29β Dube
β½ 81β Pacome
