Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Mchezaji Aziz K Aondoka Wydad, Asajiliwa na Al-Ittihad ya Libya
HABARI ZA MICHEZO

Mchezaji Aziz K Aondoka Wydad, Asajiliwa na Al-Ittihad ya Libya

January 21, 2026January 21, 2026 ajirayako

Klabu ya Al-Ittihad SC ya Libya imekamilisha rasmi usajili wa kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki kutoka Wydad Athletic Club baada ya kuinunua mkataba wake kwa kiasi cha USD 500,000 (takribani Tsh bilioni 1.2).

Kwa kukamilika kwa dili hilo, Stephane Aziz Ki sasa ni mali halali ya Al-Ittihad SC, hatua inayoongeza nguvu kubwa katika safu ya kiungo ya klabu hiyo.

Usajili huo unaashiria dhamira ya Al-Ittihad SC kuwekeza kwa wachezaji wenye ubora na uzoefu wa juu.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Adolf Bitegeko Aanza na Kombe Mechi ya Kwanza Kaizer Chiefs

July 27, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Joshua Aibuka Shujaa, Amwangusha Prenga Baada ya Kuanza Vibaya

July 26, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Rais wa zamani anaswa akidaiwa kupanga njama kumuua Kapteni Traore
Next: Klabu ya Simba Wamrejesha Clatous Chama Chamani

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa

  • Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

  • Huyu Hapa Mwanamke Aliyewahi Kuiba Pesa Nyingi Katika Benki ya NBC Hapa Tanzania

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.