Ahmed Ally Aomba Pambano la Ngumi Simba na Yanga

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram Leo Disemba 11 amesema ametafuta namna ya kuwanyamazisha midomo mashabiki wa Yanga na ameona ikiwezekana liandaliwe pambano la Ngumi au mechi ili wawapelekee motoo.

Aidha baada ya kuchapisha habari hiyo meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amejibu hoja ya Ahmed Ally kwa kumuuliza ‘Hujachoka kugawa Utamu’? Aliuliza Kamwe.

Related Posts