Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Ahmed Ally Aomba Pambano la Ngumi Simba na Yanga
HABARI ZA MICHEZO

Ahmed Ally Aomba Pambano la Ngumi Simba na Yanga

December 11, 2025December 11, 2025 ajirayako

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram Leo Disemba 11 amesema ametafuta namna ya kuwanyamazisha midomo mashabiki wa Yanga na ameona ikiwezekana liandaliwe pambano la Ngumi au mechi ili wawapelekee motoo.

Aidha baada ya kuchapisha habari hiyo meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amejibu hoja ya Ahmed Ally kwa kumuuliza ‘Hujachoka kugawa Utamu’? Aliuliza Kamwe.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

July 22, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

July 21, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: TANZIA: Mbunge Jenista Mhagama Afariki Dunia
Next: Ali Kamwe Amjibu Ahmedy Ally Kuhusu Pambano la Ngumi la Yanga na Simba Aliloomba

Popular Posts

  • Bella Aibua Mapya ya Shekh Walid! Amtaka Waziri Gwajima, Video za CCTV, Asema wanawake wengine wapo

  • Bella Atoa Masaa 24 kwa Diva Aseme Ukweli Kuhusu Shekh Walid na DNA ya mtoto’Sikukimbia Usinichafue’

  • FIFA Yamtangaza Mwamuzi wa Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Argentina vs Hispania Kesho

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Hatimaye Sheikh Walid Akabidhi Ofisi

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.