Star wa muziki wa Nigeria Davido amevuna kiasi cha shilingi milioni 268.6 baada ya Mkeka wake kutiki
Davido alibeti kiasi cha shilingi za Kitanzania million 68.1 kwenye mchezo wa Nigeria dhidi ya Tanzania kwamba umalizike kwa timu zote mbili kupata bao wataalamu wanaita GG
Mchezo umemalizika Nigeria 2:1 Tanzania.
