Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • AFCON 2027: Uganda Yatangaza Kuondoa Viza Kwa Wageni
HABARI ZA MICHEZO

AFCON 2027: Uganda Yatangaza Kuondoa Viza Kwa Wageni

April 14, 2026 Udaku Special

Serikali ya Uganda imetangaza rasmi kuondolewa kwa ada ya viza kwa wageni wakati wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.

Hatua hii ya kimkakati inalenga kurahisisha uingiaji kwa Mashabiki na watalii na kurahisisha katika kukuza uchumi wa nchi.

Mpango huo ni sehemu ya juhudi pana za kufufua sekta ya utalii ya nchi.

Uganda inatarajia kuongezeka kiuchumi na kutoa fursa ya kipekee kwa Watalii na wageni wakati wa Mashindano hayo makubwa barani Afrika.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Meridian Sportstz APP: Habari za Michezo Kiganjani Mwako

September 29, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Sudan Mabingwa CECAFA U-20 Baada ya Kuifunga Tanzania Kwa Penati

September 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Papa Amjibu Vikali Trump Baada ya Kauli Zake, Asema Haogopi Vitisho
Next: Fahamu Madhara ya Kiafya ya Uvutaji wa Shisha

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

  • Kwa Nini Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

  • BASATA Yawashusha Rungu Harmonize, Nandy, Sanga na Waandaaji wa Matukio

  • Paul Makonda Afunguka Kuhusu Dudu Baya na Kauli zake za “You Better Watch Your Back”.

  • Zitto Kabwe Achafukwa “Mnajadili Kuhusu Jezi Mnaisahau Taifa Stars, Ndio Maana Mmefungwa”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.