
Ameandika Ahmed Ally msemaji wa Simba kwenda kwa Ally Kamwe:
“Unauliza kwanini timu ipo Misri mimi nipo Bongo, Ok nimebaki Mjini kuhakikisha Rais wako hapati Ubunge Kongwa na Kigamboni”
Hii inakuja mara baada ya kauli ya msemaji wa Yanga Ali Kamwe kusema kuwa ukiacha na kuongea kuna baadhi ya wasemaji hawajui kingine chochote ,ndiyo maana timu ipo Misri yeye yupo bongo
NB:Ali Kamwe atajibu kweli hapa?
