Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Ahmed Ally: Niko Bongo Kuhakikisha Boss Wako Hapati Ubunge Kongwa
HABARI ZA MICHEZO

Ahmed Ally: Niko Bongo Kuhakikisha Boss Wako Hapati Ubunge Kongwa

August 17, 2025August 17, 2025 Udaku Special

Ameandika Ahmed Ally msemaji wa Simba kwenda kwa Ally Kamwe:

“Unauliza kwanini timu ipo Misri mimi nipo Bongo, Ok nimebaki Mjini kuhakikisha Rais wako hapati Ubunge Kongwa na Kigamboni”

Hii inakuja mara baada ya kauli ya msemaji wa Yanga Ali Kamwe kusema kuwa ukiacha na kuongea kuna baadhi ya wasemaji hawajui kingine chochote ,ndiyo maana timu ipo Misri yeye yupo bongo

NB:Ali Kamwe atajibu kweli hapa?

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Mtanzania Barka Seif Mpanda Aweka Historia, Asajiliwa Akademi ya Barcelona La Masia

June 11, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

New Online Casino in Tanzania with Over 1,000 Games

June 9, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Aliniahidi ndoa kumbe alikuwa anitumia kuongeza utajiri wake wa kiroho
Next: Taifa Stars Kuivaa Morocco Robo Fainali, Kenya Kuivaa Madagascar

Popular Posts

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariff majini Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Atajwa kuchukua nafasi ya Ahmed Ally Simba SC

  • Kocha Nabi Amchana Ukweli Huu Rais wa Yanga SC.

  • Polisi Zanzibar Watoa Hitimisho la Kifo cha Ashlee Robinson, Uchunguzi Wabaini Alijinyonga

  • Ukweli Kuhusu Tetesi za Mchezaji PACOME Kuondoka Yanga, Huu Ndio Ukweli

  • Fiorentina Yataka Kumsajili Kinara wa Mabao AFCON U-17 Dismas Athanasi

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.