Ali Kamwe Amjibu Ahmedy Ally Kuhusu Pambano la Ngumi la Yanga na Simba Aliloomba

Mara baada ya Msemaji wa @simbasctanzania @ahmedally_ kuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anataka pambano la ngumi na nyuma mwiko
Msemaji wa @yangasc #alikamwe amemjibu Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram kwa kuandika ⬇️⬇️

huyo Mgawa utamu kabla hajaomba pambano la Masumbwi huku aangalie kwanza Hiyo Logo hapo .. Sitaki Lawama Baadae..

Semaji ataweza pambano???

Related Posts