Furaha Dominick mwanasiasa Ambaye alishawahi kupambana na Gwajima amemjia juu kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni
Amesema ………………………..
“Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo “, amesema.

