Andy Boyeli amefunga magoli mawili wakati Wananchi, Young Africans wakiibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya KMC Fc na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara, alama 10 baada ya mechi 4.
FT: Yanga Sc 4-1 KMC Fc
⚽ 36’ Maxi
⚽ 74’ Pacome
⚽ 81’ Boyeli (P)
⚽ 90+3’ Boyeli
⚽ 43’ Saliboko

