Msimamo wa Ligi Kuu Baada ya Simba na Yanga Kushinda 5
Baada ya kumalizika kwa mechi za wiki ya 29 za Ligi Kuu Tanzania Bara mnamo Juni 18, 2025, hali ya msimamo wa ligi imekuwa ya kusisimua huku ushindani ukiendelea kuwa…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Baada ya kumalizika kwa mechi za wiki ya 29 za Ligi Kuu Tanzania Bara mnamo Juni 18, 2025, hali ya msimamo wa ligi imekuwa ya kusisimua huku ushindani ukiendelea kuwa…
KIKOSI Cha Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025 Tanzania Prisons itamenyana na Young Africans katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Juni 18. Mechi hiyo inatarajiwa…
MATOKEO Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025 Tanzania Prisons itamenyana na Young Africans katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Juni 18. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na…
Yanga Waijibu Tena TFF, Hatujalipwa Misimu Mitatu Klabu ya Young Africans SC kupitia taarifa yake imeeleza wazi kuwa haijawahi kupokea malipo yoyote ya zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho…
TFF Waijibu Yanga, Hela Zenu za Ubingwa Tuliwakata kwenye Madeni yenu Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limeeleza kuwa tsh. Milioni 200 ambayo ni fedha ya ubingwa wa Kombe…
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo…
Ahmed Ally adai Yanga “wana dema dema” Wamekalia kaa la moto
Yanga SC wanaimba hawachezi. Wimbo wao umekwenda mbali kidogo na matumaini ya Mchezo wa Derby yameanza kuwa madogo. Nini wanachopaswa kufanya Simba SC katika kipindi hiki cha Hatuchezi ng’oo? Wajiandae…
Yanga Yakataliwa na Mahakama Sakata la Dabi, Wapeleke tu Timu Uwanjani… “Katika hatua inayoonekana kama muendelezo wa kushindwa kwa klabu ya Yanga kwenye vita yake ya kupinga maamuzi yaliyofanywa na…
Dkt. Samwel John Marwa, daktari na mwanachama halali wa Young Africans SC mwenye kadi namba TZIRI03003030 alifungua maombi chini ya hati ya dharura akiomba kibali cha kufungua shauri la mapitio…
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa…
Yanga Wasipocheza, Simba Bingwa 24/25 Kufuatia Yanga kushikilia msimamo wa kutocheza mechi hiyo ya dabi, inaweza kuwa nafasi kubwa kwa Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu..Yanga inabanwa na…
Msimamo wa Yanga Upo Pale Pale Hawachezi, Sababu Zawekwa Wazi..Hawashawishiki Licha ya Jitihada kubwa zinazofanywa na viongozi wa TFF na Bodi ya ligi ili kuonana na Uongozi wa klab ya…
Unaambiwa Timu ya Yanga Wameingia KAMBINI rasmi Hii Leo Kwa Ajili ya Maandalizi ya Mchezo Wao wa DERBY Dhidi ya SIMBA SC Mchezo ambao wamekuwa wakisema hawataingia Uwanjani, Unaambiwa Na…
Klabu ya Yanga ndiyo timu bora kwasasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati. Yanga ndiyo vinara wa NBCPL hadi hivi sasa. Wapo fainali ya michuano ya CRDB FC wanakutana…