Azam Yasukumwa Nje ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yapokea Kichapo Kitakatifu

Wanalambalamba, Azam FC wamesukumizwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCL) kufuatia kipigo cha 2-0 ugenini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B.

Kwenye mchezo mwingine wa kundi hilo, Nairobi United imekamilisha ratiba kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Maniema ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

FT: Wydad AC 🇲🇦 2-0 🇹🇿 Azam FC
⚽ 64’ Msindo (og)
⚽ 90+4’ Nassi

FT: Maniema 🇨🇩 3-0 🇰🇪 Nairobi United
⚽ 05’ Namboka
⚽ 29’ Namboka
⚽ 44’ Mboma Kinda
🟥 57’ Machaga

Related Posts