DAR: Goli pekee la Steven Mukwala katika dakika ya 42 limeipa Simba ushindi wa Goli 1-0 dhidi ya Singida Black Stars kwenye Uwanja wa KMC Complex

Ushindi huo unaifanya #Simba kufikisha alama 72 ikiwa nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara ikiwa nyuma ya #Yanga yenye pointi 73, timu zote zikiwa zimecheza Michezo 27

Singida imebaki katika nafasi ya nne ikiwa na alama 53 katika Michezo 28

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *