
π¨π¨BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares GonΓ§alves (49).
Kama nilivyoripoti jana kwamba Pira Ureno linakuja Jangwani,now nathibitisha kwamba Pedro Valdemar Soares GonΓ§alves ni kocha mpya wa Yangaβ
Ikumbukwe kocha huyo aliifikisha Angola hatua ya robo fainali kwenye Afcon iliyopita.
Balaa jipya NBCπποΈ
