Moussa Pinpin Camara anautulivu, umakini na kujiamini anapokuwa kazini kwake sio golikia wa kawaida hata kidgo kwenye michuano hii mikubwa ya CAF

Leo alikuwa na kiwango kizuri kulingana na namna alivyokuwa anaukontroo mchezo kwa kufanya timu yake iwe na utulivu pale walipokuwa wanashambuliwa..
Moussa Pipin Camara ndyo ‘Quality’ ya Simba sc hii

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *