CV ya Miloud Hamdi Kocha Yanga SC
Klabu ya Young Africans SC imekamilisha usajili wa Kocha Miloud Hamdi mwenye umri wa miaka 53 kutoka Singida Black Stars akichukua mikoba ya kocha Saed Ramovich anayeondoka klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote mbili
Kocha Hamdi alizaliwa June 1, 1971, akiwa na Uraia wa Algeria na Ufaransa anao uzoefu mkubwa wa kufundisha soka akiwa amefanya kazi barani Ulaya, Asia na Afrika.
Mfahamu zaidi Miloud Hamdi Kocha Mpya wa Young Africans