Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Kupangwa Agosti Dar

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya droo ya hatua ya awali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2025-2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania.

CAF imeamua kufanya droo hiyo kabla ya Agosti 12, 2025.

Awamu ya kwanza ya mechi za mashindano hayo itakuwa Septemba 19-21, 2025 huku mechi za marudiano ikiwa ni Septemba 26-28, 2025.

Related Posts