Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Kupangwa Agosti Dar
HABARI ZA MICHEZO Political News

Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Kupangwa Agosti Dar

July 29, 2025July 29, 2025 Udaku Special

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya droo ya hatua ya awali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2025-2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania.

CAF imeamua kufanya droo hiyo kabla ya Agosti 12, 2025.

Awamu ya kwanza ya mechi za mashindano hayo itakuwa Septemba 19-21, 2025 huku mechi za marudiano ikiwa ni Septemba 26-28, 2025.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Jackpot ya Milioni 200 Yapata Bingwa

October 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Cristiano Ronaldo Afikisha Mabao 981, Abakiza Mabao 19 Pekee Kufikia Record ya Mabao 1,000

October 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Hii Ndiyo SIMBA Mpya ya Fadlu Msimu Ujao…..
Next: Niliandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini, leo nawambia siri ya upona!

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Baada ya kikao, Yanga imefanya maamuzi haya kwa kocha Manqoba

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • TMA: Mvua Kutarajiwa Kunyesha Mfululizo Mikoa Hii Saa24 Zijazo Kuanzia Saa3 Usiku

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.