Hakimi Afunguka “Hatukushinda AFCON Siwezi Kwenda Kupokea Kombe”

β€œMama yangu aliniambia nikatae kombe la AFCON. Rasmi nakataa kupokea kombe hilo na ninatumaini wachezaji wenzangu pia watafanya hivyo.”

β€œTulikuwa na nafasi ya kushinda lakini hatukufanikiwa. Hiyo ndiyo soka wakati mwingine unashinda na wakati mwingine unapoteza.”

Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ waliwashinda kwa haki na walistahili ushindi huo. Itakuwa si haki kuharibu furaha yao baada ya juhudi kubwa walioweka.”

β€œNinaheshimu uamuzi wa CAF lakini rasmi nakataa kombe hilo. Sikushinda AFCON 2025. Hongera tena kwa Senegal.” πŸ‡ΈπŸ‡³β€οΈ

β€” Achraf Hakimi akizungumza na Marca

Related Posts