Hatimae Yunge Kijana Mtanzania Kufunga Ndoa na Binti wa Rais Ruto Nov 6

Charlene Ruto, Binti wa Rais wa Kenya, William Ruto anatarajiwa kufunga ndoa na Mchumba wake, Mfanyabiashara Mtanzania Isaya Yunge, Novemba 6, 2026, katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Jijini Mwanza.

Kwa mujibu wa taarifa za maandalizi, sherehe hiyo itafanyika katika fukwe za hoteli hiyo, huku shamrashamra za kuelekea harusi zikiendelea.

Harusi hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na Wanafamilia pamoja na Viongozi mbalimbali kutoka Tanzania na Kenya, akiwemo Baba wa Bibi harusi, Rais William Ruto.

Hatua hiyo inafuatia sherehe ya mahari na kuvishana pete ya uchumba iliyofanyika Agosti 8, 2026, eneo la Kilgoris, Kaunti ya Narok nchini Kenya, na kuwakutanisha Wanafamilia wa pande zote mbili.

Related Posts