Alindika haya masaa machache kabla ya Kifo Chake:
Anayetaka kukuroga anaanza na kuivunja IMANI YAKO ILI AVUNJE KWANZA UNACHOKIAMINI Unapomuamini YESU JUST FOCUS USIYUMBISHWE
Ndio, maana una mwita Yesu AMBAE NI MUNGU MKUU NA NURU HALISI ambaye hujawahi kukutana naye ila IMANI yako inakuponya sivyo ?
Ili uweze kumroga mtu, Lazima ushike imani yake kwanza na kushika imani yake ni kupumbaza fikira yake ya ushindi.
Umewahi kuumwa sana, wewe au ndugu yako kila akienda hospitali kupima majibu hana ugonjwa ?
_ Ili niweze kukuroga ni sheria niteteleze imani yako, yani ifike mahali unaona watu wanakuchukia bila sababu, kwenye kila mahusiano yako hudumu, kila biashara unayofanya inagoma, mipango yako yote inaharibika haya ndio huitwa kuchezesha Imani yako.
Bila kuchezesha imani yako, sio rahisi kukuroga au kurogeka ! Baada ya kuchezeshewa imani kinachofata ni wewe kutapatapa na kukosa mwelekeo hapa utaanza kwenda kwa Mwamposa, kesho kwa kilinge cha Dr William, Dr Majini n.k ukiona umefika stage hiyo hapo upo unatapatapa ndio hiyo stage huitwa “ WEWE UMEROGEKA “
Unapopigwa chale, au kuoga unga wa madawa hiyo sasa unakuwa upo kwenye utumwa wa Uchawi au kurogwa _ unadhani ile miti iliyosagwa ikawa unga unga ina nguvu gani kwa uchawi iliotupiwa ?
Hapo, kwa kuwa unatapatapa hata ukiambiwa kunywa mkojo utakunywa tu, maana huna jinsi na ushapoteza imani yako.
“ Utajuaje umerogwa
- Usiku huna usingizi hulali tu “ Mdaa mwingi ukikaa na simu ndio kama faraja kwako utaangalia movies na kujisahau kidogo ndio unalala kidogo.
- Ukishika pesa, biashara, mali, chochote kile hakidumu kwa mdaa na unaweza kuanzisha jambo vizuri ila halichukui hata mwaka linaharibika.
- Kuwa na msashaka na hofu,
Hii ipo kwa wengi na hudhani ni ugonjwa au just normal hapa hii ni dalili ya kwanza ya uchawi ni kukupa hofu na mashaka ili uteteleke na kupoteza ile imani yako ili uwe sasa unatapatapa na ndio maana unakosa amani ya moyo wako.
Kama wapo watu,
Kadha wangependa kujua jinsi gani unaweza kujitoa na Uchawi au kurogwa basi….
.

