Mshambuliaji wa Singida Black Stars Jonathan Sowah (26) 🇬🇭 amekataa kubadili uraia kutoka taifa la Ghana na kuwa Mtanzania 🇹🇿

Jonathan Sowah amethibitisha kupitia Asempa FM 🇬🇭 kuwa alifatwa na viongozi wa Serikali ya Tanzania wakimtaka abadili uraia na Jonathan Sowah aliwaambia kuwa bado azima yake ni kuendelea kuitumia timu ya taifa ya Ghana (Black Stars) na anafurahia kufanya hivyo.


Alikataa kuolewa ili amkomboe mama yake... Lakini mama ndiye aliyemuuza!

GORYANAH –Hii ni story ya Moto Sana yenye hisia na Mafunzo, binti jasiri anayepambana na siri nzito, umaskini na hatari kubwa kwa ndoto zake! Pakua app yetu ufurahie Sehemu ya 1 Hadi ya 5,na mwendelezo wake kila JUMAMOSI SAA MOJA KAMILI JIONI BURE!

BONYEZA HAPA KU DOWNLOAD.

Ukiona ujumbe wa allow notification bonyeza allow ili uwe mwanafamilia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *